Rapa aliyekuwa kwenye “Money Team” ya bondia Floyd Mayweather Jr ’50
Cent’ amezungumzia uwezekano wa pambano la Manny Pacquiao na Floyd
Mayweather Jr kufanyika.
50 Cent amesema ” pambano hili halita tokea kama ilivyopangwa sababu
May Weather yuko kwenye wakati mzuri kwenye maisha na kazi yake sasa,
anaweza kuchagua mtu yeyote wa kupambana naye sio lazima awe Manny, Pia
50 Cent anasema kunauwezekano mkubwa May akachagua pambano la kurudiana
na ‘Miguel Cotto’ ” .
Promota Bob Arum alitangaza wiki iliyopita kuwa pambano hili litatokea na Manny ameshakubali ila May bado hajatoa jibu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni