PICHAZ: BAADHI YA PICHA ZA SUPER SUNDAY YA RASI FM IKIWA CHINI Y AIPYANA STEPHENE MWAKASENDILE....UNGANA NA RASI FM KUKISIKILIZA KILA JUMAPILI KUPITIA 103.7
Mtangazaji wa Rasi Fm Ipyana Mwakasendile akiwa na msanii wa nyimbo za Injili Maro Mnyero katika interview kwenye kipindi cha Supersunday juapili wiki hii.
Mtumishi wa Mungu Muinjilisti Mussa Charles mara baada ya Kutoa neno katika kipindi cha Jumapili cha Super Sunday cha Rasi Fm Radio.....kinachokuwepo kila siku ya jumapili kuanzia saa saba mchana hadi saa tisa alasiri.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni