Ukaribu wa
mastaa Wema Sepetu na Diamond Platnumz unazidi kutikisa mitandao ya kijamii
kila siku. Mastaa hawa wamekuwa wakiweka post ambazo zimekuwa zikiongeza
maswali kwa mashabiki ambao wanahoji sababu za wao kufanya hivyo wakati
waliwahi kuwa kwenye ugomvi baada ya kuachana.
November 7, 2016 Mrembo Wema Sepetu ameweka post ya kumpongeza Diamond
Platnumz baada ya kushinda tuzo tatu za AFRIMA2016 zilizotolewa jijini
Lagos, Nigeria usiku wa kuamkia jana.
Post ya pongezi ya Wema Sepetu kwenda kwa Diamond Platnumz
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni