Mwanajeshi ambaye alizawa mwanaume Hannah Winterbourne, 27 ila alitumia
muda mwingi akiwa jeshini kama anavyoonekana kwenye hapo juu kabla
ajaamua kwenda Camp Bastion, Afghanistan hapo ikambidi abadilishe jinsia
ya kiume na kuwa mwanamke kwa kufanya surgery.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni