Aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’
ametangaza ujio wa kitabu chake kuhusu makosa aliyofanya kwenye maisha
yake mpaka kupelekea yeye kuwa kama alivyo.
Kitabu kitaitwa “How To Be a Bad B*tch” na kinategemewa kutoka
November 2015. Kitabu kitachapishwa na kampuni ya Simon & Schuster.
Kuna uvumi kuwa Kim Kardashian amemuomba dada yake ‘Khloe’ amalize beef yao na Amber sababu Amber ana siri nyingi za Kanye West.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni