Akizungumzia ndoto zake ndani ya Club hiyo, Dk. Cheni aliweka wazi kuwa ameanza kuona ndoto zake za kuiongoza klabu hiyo zitatimia kwa asilimia fulani kama ambavyo alikuwa akitamani kuwa kiongozi kwa muda mrefu.
“Niko tayari na nitagombea tena uongozi kwa nafasi ya uenyekiti, sasa
hivi ninachosubiri ni usajili tu ukikamilika na mambo yatakwenda sawa
kwani nimejipanga vya kutosha kuongoza,” alisema Dk. Cheni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni