Rapa Stamina yupo Tayari kutoa album yake ya kwanza kama Solo Artist,Kupita domfahari.blogsport.com
Stamina amesema album itaitwa Mlima Uluguru sababu ni mlima wa kwao
Morogoro, Cd ina Nyimbo 23, Nyimbo 20 ni za Album na Nyimbo Tatu ni
Bonus Tracks ambazo ni collabo zilizofanya vizuri kama Wanasemaje ya Joh
Maker, Chini ya Ulinzi na Songa na Mpela Mpela ya Mash J.
Album pia ni mtiririko wa stori nzuri za Nyimbo ulioanza na Kabwela, Alisema, Najuta Kubale, Wazo La Leo, Mwambie mwenzio, Huko Kwenu Vipi…..
“Rap imenipa ulaji,sijali snitch ukiongea/Kama majungu ni mtaji,fungua duka ili uuze umbea/“ #teamratino

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni