Jumanne, 19 Mei 2015

MSANII WA HIP HOP HOOD C AMEKANUSHA MADAI YA KIJITOA LUNDUNO

 

Kupitia THE PREMIER FLAVOUR YA RASI FM RADIO DODOMA 103.7 HOOD C amepiga story na smashratino mtangazaji wa kipindi hicho ya kusema hanapata taarifa kama hizo kutoka katika uongozi wake wa LUNDUNO na hakuna kitu kama hicho kwa sasa anaendelea kufanya project na bado yupo chini ya lunduno msikilize hapo juu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Ad Inside Post