\
Mwanaume mmoja nchini China ambaye amefumaniwa na wapenzi wake wa
kike 17 kwa pamoja amekamatwa na vyombo vya dola kwa kujipatia fedha kwa
njia za udanganyifu.
Mwanaume huo kutoka mkoa wa Hunan, aligonga vichwa vya habari baada
ya wanawake hao 17 kubaini kuwa wote wanatembea naye wakati walipoenda
hospitali kumuangali.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni