Utajiri wa mastaa wote hawo kwa pamoja ni sawa dollar billion 2.2 Upande wa 50 Cent hali mbaya hayupo tena Top 5 ya wasanii wa Hip Hop wenye mtonyo wa maana, Drake amemtoa kwenye nafasi hiyo.
1. Diddy $750 million
2. Dr Dre $710 million
3. Jay Z $610 million
4. Birdman $110 million
5. Drake $150 milli9n
1.Sean “Diddy” Combs bado anashikilia namba moja akiwa na utajiri wa dola milioni $750.
Puff Daddy
2.Andre “Dr. Dre” Young anashikilia namba mbili kama mwaka jana akimiliki dola milioni $710 kutoka kwenye faida za biashara zake kama Beats By Dr. Dre.
3. Shawn “Jay Z” Carter anamiliki dola milioni $610 kutokana na faida ya kampuni yake ya kusikiliza muziki na kutazama kazi za wasanii ka kulipia ya TIDAL Na mikataba na wasanii wengine kupitia Roc Nation.
Jay Z
4. Bryan “Birdman” Williams anashika namba yake ile ya nne akiwa na mkwanja dola milioni $110 million kutokana na lebel yake ya Cash Money.
Birdman
5. Aubrey Drake Graham, Drake ameingia kwenye orodha hii akiwa namba 5 akimiliki dola milioni $60
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni