
Show kubwa ya msanii Lady Jaydee iliyopewa jina la ‘Naamka Tena Concert’ iliyofanyika Ijumaa hii kwenye ukumbi wa Mlimani City imefana. Kwenye show hiyo Jaydee alitumbuiza pamoja na bendi yake. Mastaa waliohudhuria ni pamoja na Alikiba,Wema Sepetu,Rama Dee,Idris Sultan,Lamar, Lulu na wengi. Tazama picha za show hiyo.
Lady Jaydee akiwapa burudani mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi

The Sony Music Boy: Alikiba alipanda jukwaani kwa surprise na kufanya ukumbi ulipuke kwa shangwe za hatari

Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiteta jambo na Majay, wa kulia ni Dizzle`

Mama Mzazi wa Lady Jaydee wa katikati

Meneja Lady Jaydee (katikati) Seven Mosha akifuatilia show

Rama Dee

Mtangazaji wa EFM Gerand Hando

Rama Dee akiimba pamoja na Jide

Rama Dee akimpongeza Lady Jaydee

Wema Sepetu na mpenzi wake Idris Sultan

Alikiba alipanda stejini kuwasalimia mashabiki wake

Idris Sultan akisalimiana na Alikiba













































































![]() |
CHANZO: Oneclick Tanzania |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni