Hii ni kwa wanafunzi wa shule zote zilizo ndani ya mji wa Dodoma maalumu kwa kuwakaribisha wanafunzi wote wa Form One na wale wanaopanda kidato kuingia Form Four.
Disco litaanza saa nane mchana kwa kiingilio cha Buku mbili tu (2000/=)
Mjulishe na mwenzio kwa ajili ya kujenga marafiki wapya watakaokufaa kwa maendeleo ya kitaaluma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni