Ijumaa, 20 Februari 2015

MCHUMBA WA BOBBI BROWN AZUILIWA KUMUONA MPENZI WAKE

Ndugu wa binti yake Whitney Houston wamesema wameamua kumzuia Nick Gordon mwenye umri wa 25, kumuona binti yao kwa kuwa alimdandanya na kumuingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya.
Lakini mwanasheria wake, Randall Kessler alisema ”Nick has respected the family’s wishes – and for that reason alone has no returned to the hospital and risked a public confrontation”
”He desperately wants to be with the one he loves and continues to hope his request will be granted”.
Bobbi alikutwa kazirai kwenye maji bafuni nyumbani kwake Roswell, Georgia, US, January 31 mwaka huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Ad Inside Post